To yeye anataka zile pigo za mpaka mtu ajielezee sijui ana degree mara ana kazi mara ana nyumba na gari. Hayo mengine itajulikana akizama PM kwa kidume 🤣🤣🤣

Aisee, kama utafanikiwa kupata muhudumu wa ndege, nakuambia utakuwa umelamba dume, wale kina dada wamejaaliwa ( kujali, kutoa faraja, kujiamini, kupambana na kutokata tamaa)