samsiz Member Joined Dec 23, 2012 Posts 64 Reaction score 51 Aug 18, 2018 Thread starter #2 hahahaaaa
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,178 Reaction score 73,982 Aug 18, 2018 #3 Mbona umerudia tangazo kwa lugha mbili tofauti?
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,858 Aug 18, 2018 #4 Kqzi kwl kwel Sent using Jamii Forums mobile app
aminamoshi Member Joined Aug 15, 2018 Posts 8 Reaction score 6 Aug 18, 2018 #5 Sasa uyo mke atakula nn?
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,406 Aug 18, 2018 #7 Muwage na huruma aisee. Utamkazaje akiwa na njaa. Kuvaa si shida utajitetea kwamba hatakuwa anatoka so akikaa uchi fresh.
Muwage na huruma aisee. Utamkazaje akiwa na njaa. Kuvaa si shida utajitetea kwamba hatakuwa anatoka so akikaa uchi fresh.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,406 Aug 18, 2018 #9 samsiz said: ukitaka picha zangu nicheck fb musa wa israel au whatsapp 0655079119 am serious Click to expand... tafuta hela wewe acha uboya. Hata maandiko yanasema uombe na kufunga kama uwezo wa kuoa huna. Umtoe mtoto wa kike kwao aje akutumikie atakula nini, atavaa nini ama unawaza kumkaza tu umzalishe? Haya hao watoto watakula nini. wa israel my foot.
samsiz said: ukitaka picha zangu nicheck fb musa wa israel au whatsapp 0655079119 am serious Click to expand... tafuta hela wewe acha uboya. Hata maandiko yanasema uombe na kufunga kama uwezo wa kuoa huna. Umtoe mtoto wa kike kwao aje akutumikie atakula nini, atavaa nini ama unawaza kumkaza tu umzalishe? Haya hao watoto watakula nini. wa israel my foot.
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,323 Aug 18, 2018 #10 Mkuu umeandika huna familia ulikuuwa unakusudia nini? Yatima au?
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 Aug 18, 2018 #11 Baada ya mwaka utatamani hili bandiko lisiwepo, na watu walivyowajinga wanaquote kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mwaka utatamani hili bandiko lisiwepo, na watu walivyowajinga wanaquote kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app