Mimi naitaji wife material nipo serious kbsa vigezo na mashart kuzingatiwa umri wangu ni miaka 30 ni muajiriwa kwenye private sector.so mwanamke ninae mtaka lazma awe na umri kuanzia miaka 29 mpk 25.tafadhali njoo pm kwa maelezo zaidi.
Sent using
Jamii Forums mobile app