mreno meela
Member
- Feb 10, 2015
- 37
- 5
Mi nina mke wangu nataka kumuacha una sh.ngapi nikuachie
Afidie mahari au
Akifika bei itakayoniridhisha namuachia tu
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari
Imformation Techno
Kazi yyt hata changudoa:sly:
Umri wowote kuanzia 50+😀
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm
Akifika bei itakayoniridhisha namuachia tu
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm
Hah nami natafuta mume Wa kuish nae ila we mdogo bwana miaka 26 kwa mwanaume bado bado labda ukifikisha 30 hah hah
Hapana nimependa tu itaji lako mm cwez kuwa na ambae yupo chin ya miaka 30 wanaume wanakuwa wakiwa na 30 yrz
Unachagua Kama Mafungu Ya Nyanya Vile,masalo Pembeni Na Nzima Pembeni