Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Usijali, nakuchukua mimi. Kigezo changu ni "mwanamke yeyote alie hai". Au na chenyewe hauna?[emoji3][emoji3][emoji3]Hadi hapa nitakufa single
Kama una connection nipatea mkuuKaka mjumbe unataka muhindi njoo upanga huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na we ukimpata wako ata Kama uko na mimba yangu unaenda nayo tu tutamlea mtoto ukiwa kwa huyo mumeo mwingine[emoji41][emoji41]Kwamba ukipata muhindi wakt mm Ninamiak 50 ndo kuachwa uzeen [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupumua si ndo kuwa hai au ššUsijali, nakuchukua mimi. Kigezo changu ni "mwanamke yeyote alie hai". Au na chenyewe hauna?
šššNatia udhu kwanza nipitie comments.
View attachment 2489414
ššššššš
Iyo kibokoššNa we ukimpata wako ata Kama uko na mimba yangu unaenda nayo tu tutamlea mtoto ukiwa kwa huyo mumeo mwingine[emoji41][emoji41]
Kabila lako
Mi nataka shombe shombešššHadi hapa nitakufa single
update ukifanikiwa pata toto la kipembaUmri wangu: 31
Kuishi: Dar es Salaam
Kazi: Engineer mgodini
Dini: Muislam, nimehifadhi juzuu 1, nasoma quran, pia swala 5.
Sifa za Mke
Umri: 18-25
Color: Chocolate au mweupe
Lugha: Awe mwenye rafudhi ya kipemba haswa, mana ndo ugonjwa wangu huo[emoji3]..
Shape: Asiwe mnene
Karibu PM
Nishafeli na hapo nilivo mweusi Sasašukihitaji anaepumua tu utaniambiaMi nataka shombe shombe
[emoji23]Natia udhu kwanza nipitie comments.
View attachment 2489414
Yes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!Kupumua si ndo kuwa hai au [emoji3][emoji3]
Kwakweli mambo ya vigezo tuwaachie wenyewYes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!
Yes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!
Nililala 21:00haya Bantu Lady na To yeye, mume ndo huyu. Sitaki kuwaona mkiendelea kukesha Kama mapopo