Mshika Bunduki
Member
- Jan 14, 2015
- 79
- 18
Inaonyesha jamaa amekunywa Viagra kabisa....kavizie kanisani mkuu
Inaonyesha jamaa amekunywa Viagra kabisa....
Inawezekana mkuu maana anahitaji mtu wa haraka sana kuliko haraka yenyewe........Au kpaka buturuuuuu
Mtani wangu fursa hiyoo....usiiache ikupite hivi hivi..kwa hiyo tupo dukani ?
Mtani wangu fursa hiyoo....usiiache ikupite hivi hivi..
Mie ni mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo:
-Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa Rc
-Mfanyakazi na hasa mwalimu.
- Hajawahi kuolewa au kuzaa.
-Asiwe mwembamba na sio mnene sana.
-Umri kati ya miaka 22 hadi 30.
- Urefu wa wastani.
-Uaminifu ndo mpango mzima
Huhusiki tembea,ukiona fursa Pm
kwa hiyo tupo dukani ?
Hahahahaaaa.......haya mtani wangu..mtani huyu wa haraka aisee anipitie kule
yaani anadhani ni kama bidhaa ya kuuzwa haraka kama vile kunadi nyumba ya mkopo wa benki....mwanamke wa ndoa ni mipango mkakati na sio kama mchezo wa guru gusa anaoleta mdau mleta mada.
unataka mke kwa haraka halaf umesema kama huhusiki tembea