Nahitaji mizani used 0 mpaka 10 kg

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Nahitaji mizani yenye uwezo wa kupima 0 mpaka 10 kg na iwe na mhuri na stika kutoka kwa wakala wa vipimo.

Budget yangu ni 40,000(maongezi yanakaribishwa)
 
kuna mtu alinifata pm na kuniambia niende kkoo pale sokono upande wa atm ya either nmb or nbc ambapo kuna parking ya magari, pale kuna jamaa anauza mizani pale nje ya hilo soko na sio ndani ya soko
 
kuna mtu alinifata pm na kuniambia niende kkoo pale sokono upande wa atm ya either nmb or nbc ambapo kuna parking ya magari, pale kuna jamaa anauza mizani pale nje ya hilo soko na sio ndani ya soko
Ok mkuu, ulipata kwa 40 au chini ya hpo?
 
Hapana mkuu nlinunua mizani aina ya Portable Electronic Scale inayocost chini ya T.Shs. 13,000 ambayo inaweza kupima mpaka 50 kg.
 
Nami nilikuwa nahitaji, asante kwa maelekezo,nitafuatilia
 
Nipe 90,000/-, imegongwa na ina mawe yake
 
Attachments

  • Screenshot_20180927-140648.png
    197.4 KB · Views: 45
wakuu na mimi nahitaji mizani ya mawe taafdhali mwenye nayo pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…