Wadau,
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi.
Nimeona milango fulani hivi ya bati (ni ya material ya metal), naskia inatoka uturuki.
Hii milango inakuja na frame, pamoja na kitasa.
Nimezunguka maduka mbali mbali ya waturuki, lakini sijabahatika kuipata.
Kuna mdau anajua inapopatikana? Ni mizuri kwa ajili ya milango ya nje, au niendelee na milango yetu ya mbao tu?
Pia, nahitaji fundi wa urembo, wale wanaotengeneza urembo kwenye ukuta, madirisha, nguzo n.k kwa cement.
Nipo Dar.
Natanguliza shukrani.
Ram
Mkuu nimepakia milango mingi tu ya kutumia mwenyewe, kuna milango 8 ambayo ni fire doors, ikifika zanzibar nataka niuze, kama utahitaji utaipenda nitakuuzia bei powa, ila frame utengenezeshe, hio milango ni mizito, mmoja peke yako kuubeba lazima uwe umeshiba. Picha ninayo, Nitumie email yako nikutumie uwone design, simple lakini strong.Wadau,
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi.
Nimeona milango fulani hivi ya bati (ni ya material ya metal), naskia inatoka uturuki.
Hii milango inakuja na frame, pamoja na kitasa.
Nimezunguka maduka mbali mbali ya waturuki, lakini sijabahatika kuipata.
Kuna mdau anajua inapopatikana? Ni mizuri kwa ajili ya milango ya nje, au niendelee na milango yetu ya mbao tu?
Pia, nahitaji fundi wa urembo, wale wanaotengeneza urembo kwenye ukuta, madirisha, nguzo n.k kwa cement.
Nipo Dar.
Natanguliza shukrani.
Ram
kama utamhitaji fundi wa wiring wa nyumba nzima nina mtu ni ndgu yangu atakufanyia kwa bei poa sana
mkuu wasiliana nami kwa PM
Pia hiyo company ya HALIFAX iko pale magomeni mapipa karibu na kituo cha mabasi mapipa ukiuliza tu utaoneshwa