ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Kila la kheri
duh bahati mbaya yake,huyu ni mweusi na sio mrefu,na umri ni mkubwa kwako ni tatizo?Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya kunde,ni mchaga na npo dar kwa sasa,nahitaji mchumba wakuja kuanza nae maisha,awe mweupe,mrefu kiasi,akubali dini yangu ya kikristo,elimu ya kuanzia kidato cha nne nakuendelea,mengine tutaelezana wenyewe:my contact is 0715 406010 may God be with us.AMENI
Baba kilichokutoa moshi hadi dar ni kutafuta mchumba or kazi??mangi tafuta pesa babaangu
Ichana@.una majibu mjtamu wewe,yanakosha moyo wangu ,big up.kwanza Hela Demu after
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya kunde,ni mchaga na npo dar kwa sasa,nahitaji mchumba wakuja kuanza nae maisha,awe mweupe,mrefu kiasi,akubali dini yangu ya kikristo,elimu ya kuanzia kidato cha nne nakuendelea,mengine tutaelezana wenyewe:my contact is 0715 406010 may God be with us.AMENI
Ndo mara ya kwanza kumuona mchaga kishoiya kama wewe Makombe..yaani wenzio pesa mbele wewe watanguliza mwanamke kwanza?sasa utampata wapi wakat kazi huna na mabint wa siku hizi pesa mbele baba..halafuu nakushauri utafute mke na sio Mchumba..Mungu hatoi wachumba anatoa Wake..ukitafuta mchumba utakesha..halafu pfula pesa mangi lekana na wanawo wa kyika..ulemmbona mchaka aalika alawore numba? ma ya teri? leka utondo pfula kasi kwaanza..