Nahitaji mchumba

Magoa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Habari zenu wanajamiiforum
Mimi nikijana wa miaka 30 naishi Dar maisha yangu ya wastani sio ya juu sana na wala sio ya chini pia elimu yangu ni ya kawaida tu
Shida iliyoniweka hapa mtandaoni ni mahusiano nahitaji mchumba na hatimae aje kuwa mke wangu wa ndoa
SIFA ZA NIMUHITAJIE
(1) Awe muislam na mwenye hofu ya mungu
(2) Awe kati ya miaka 19 - 30
(3) Awe mweupe au maji ya kunde
(4) Awe mnene wastani na sio mfupi sana
(5) Awe tayari kuishi maisha ya ndoa

Kwa msichana yoyote alie tayari basi tuwasiliane kupitia e-mails hizi saisially63@gmail.com au saidisultani@gmail.com
Wasichana kumbukeni kuwa mimi nahitaji mke na sio rafiki
ANGALIZO
Wewe msichana usikuwa tayari kwa hili tafadhali usinisumbue
 

Mhh wasubiri wameenda kufanya maandalizi ya chrixmax
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…