benjaminielia85
Member
- Sep 15, 2016
- 29
- 5
Jaman.. akaunt ya bank tenaAkaunti zako za bank zinasoma 000 ngapi
Ndio muhimu sanaJaman.. akaunt ya bank tena
Ukiona mtu anawaza mambo ya akaunti ujue s muolewaji huyo... mke bora ata huko hafikiliiNdio muhimu sana
Mke bora hafikirii pesa kwa manufaa yake na kizazi chake??Ukiona mtu anawaza mambo ya akaunti ujue s muolewaji huyo... mke bora ata huko hafikilii