M mreno meela Member Joined Feb 10, 2015 Posts 37 Reaction score 5 Feb 25, 2015 #1 Jamani kwema huku, mimi nina miaka 27 na hitaji mchumba ambae baadae atakua mke,nipo Moshi . Aliye tayari ani cheki kwenye whatsap no 0767 353440
Jamani kwema huku, mimi nina miaka 27 na hitaji mchumba ambae baadae atakua mke,nipo Moshi . Aliye tayari ani cheki kwenye whatsap no 0767 353440
angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,446 Feb 26, 2015 #2 CV yako kwanza
B bwana ugali Member Joined Jan 13, 2015 Posts 25 Reaction score 7 Feb 26, 2015 #3 Ha ha weka Cv na copy za original certificates ili wadada wakuone.. na kwasasa unaingiza kiasi gani cha pesa. Either una nyumba ya aina gani na gari la aina gani, au unakiwanja au shamba..
Ha ha weka Cv na copy za original certificates ili wadada wakuone.. na kwasasa unaingiza kiasi gani cha pesa. Either una nyumba ya aina gani na gari la aina gani, au unakiwanja au shamba..
Pleasure JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 279 Reaction score 100 Feb 26, 2015 #4 Makubwa....!
L linkedIn Senior Member Joined Dec 20, 2014 Posts 151 Reaction score 55 Feb 26, 2015 #5 Nimecheka sana! Eti weka CV na copy za original certificates!