G Golobeja Member Joined Aug 20, 2017 Posts 93 Reaction score 98 Jan 17, 2019 #1 Nipo Mwanza nahitaji mayai 2000 mwenye nayo
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,749 Jan 21, 2019 #2 kuwa makini "makinika" unataka mayai ya kiumbe gani, ya kisasa, ya kienyeji, ya ,kuku, bata, au mbuni,, ni kwa ajili ya matumizi gani
kuwa makini "makinika" unataka mayai ya kiumbe gani, ya kisasa, ya kienyeji, ya ,kuku, bata, au mbuni,, ni kwa ajili ya matumizi gani
G Golobeja Member Joined Aug 20, 2017 Posts 93 Reaction score 98 Jan 21, 2019 Thread starter #3 MAMESHO said: kuwa makini "makinika" unataka mayai ya kiumbe gani, ya kisasa, ya kienyeji, ya ,kuku, bata, au mbuni,, ni kwa ajili ya matumizi gani Click to expand... Ya kuku kwaajili ya kutotolesha
MAMESHO said: kuwa makini "makinika" unataka mayai ya kiumbe gani, ya kisasa, ya kienyeji, ya ,kuku, bata, au mbuni,, ni kwa ajili ya matumizi gani Click to expand... Ya kuku kwaajili ya kutotolesha
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Jan 21, 2019 #4 Golobeja said: Nipo Mwanza nahitaji mayai 2000 mwenye nayo Click to expand... Mbona mwanza kuna wafugaji wazuri tu kuku
Golobeja said: Nipo Mwanza nahitaji mayai 2000 mwenye nayo Click to expand... Mbona mwanza kuna wafugaji wazuri tu kuku
greybakuza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 897 Reaction score 1,278 Jan 21, 2019 #5 Hajto said: Mbona mwanza kuna wafugaji wazuri tu kuku Click to expand... Anahitaji Mayai, siyo wafugaji. Sent using Jamii Forums mobile app
Hajto said: Mbona mwanza kuna wafugaji wazuri tu kuku Click to expand... Anahitaji Mayai, siyo wafugaji. Sent using Jamii Forums mobile app