Nahitaji mashine ya kufyatulia tofali

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari,

Naomba kuhabarishwa kuhusu gharama ya mashine ya kufyatulia tofali za inchi 4,5 na 6.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu
 
Ndugu zangu ina maana hamna anaejua?
 
Mkuu uko wapi?
Hujafafanua, kuna mashine za tofali moja na kuendelea
 
zza mkono ndugu zangu,za tofali moja
 
Hamna wanaouza mashine used jamani kwa bei nzuri?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…