clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 103
- 31
Upo mkoa ganiNahtaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo Kwanza iwe inatumia Window,Size iwe na GB 250 -
Betri nzuri hata uwezo wa kukaa na chaj masaa sita,RAM angalau GB 4,CPU iwe Pentium Intel,Keyboard yake iwe inatouch vzuri(Touch pad),Display angalau 1366×768 au 1600×900.
Fingerprint,Webcamera na touch nitazngatia
Nina 500k
Angalia hii kuna mdau anauza,iko poa sana nilishanunua kwake model kama hiyo ila HDD yake ni ndogo ntakushauri ununue external HDD kama unahitaji kuweka movies pia ila kama ni kusomea tu inatosha,iko kwenye fashion sana hasa kwa maisha ya chuo.Nahtaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo Kwanza iwe inatumia Window,Size iwe na GB 250 -
Betri nzuri hata uwezo wa kukaa na chaj masaa sita,RAM angalau GB 4,CPU iwe Pentium Intel,Keyboard yake iwe inatouch vzuri(Touch pad),Display angalau 1366×768 au 1600×900.
Fingerprint,Webcamera na touch nitazngatia
Nina 500k
Huyu form six bana kasikia chuo lazima uwe na laptop..ye hajui chochote kuhusu laptop...tuache kidogo wasukumaHawa watakuwa wasukuma, ndo wanachojua wao laptop ni kwa ajili ya kusomea tu na kuweka notice
Nipo Dsm bossMkuu kama upo Kanda ya kaskazini tufanye business
Zote zinakubali ila nimpaka ushushe unaweza kukuta ni ubuntu ukaweka window ss hzo ni complication ndio mana nkaweka waziKwani kuna pc zinazokataa window(Operating system)
DsmUpo mkoa gani
Nenda Maisha Computers ipo Posta mpya ya Kisutu karibu na CBE piga 0715404040 unaweza pia kuingia FB ukaangalia bidhaa zao kwa jina la Maisha computers usinunue vitu vya mikononi vitakucost!
Sijawahi kuona mtu mwenye akili ndogo kama ww tangu huu mwaka uanze!Nan alikwambia wasukuma ndio wanaotumia laptop tuu unajidhalilisha kwa kucoment utumbo bora ujamaze mie nmesema kwa ajili ya kusoma which is my main objectives au vip nngetaka kwa ajili kitu kingne pia ningetaja acha ushamba wa darasa la saba unajifanya unajua makabila,hata jina hujui kusoma nafkri ungezngatia hlo wala usingenipeka hukoHawa watakuwa wasukuma, ndo wanachojua wao laptop ni kwa ajili ya kusomea tu na kuweka notice
Nmeziona kaka ila bei imechangamka!Angalia hii kuna mdau anauza,iko poa sana nilishanunua kwake model kama hiyo ila HDD yake ni ndogo ntakushauri ununue external HDD kama unahitaji kuweka movies pia ila kama ni kusomea tu inatosha,iko kwenye fashion sana hasa kwa maisha ya chuo.
Ni tablet na ni laptop-ni nzuri sana haijatokea then bei chini sana
Kama umezipenda mpigieNmeziona kaka ila bei imechangamka!
Akili zako za kushikiwa sasa nan anakusikiliza nenda darasan!embu fuatilia ninapofanya kazi na all that then uone kama kila anaenda kusoma katoka form six!Huyu form six bana kasikia chuo lazima uwe na laptop..ye hajui chochote kuhusu laptop...tuache kidogo wasukuma
Fyn brah!Kama umezipenda mpigie
Anaweza kukupoozea kidogo mkielewana vizuri.
Mi nilinunua moja iko vizuri mnooo
Xa masters mkuu hujui ata basic specs za computer kweli? Utakuwa utani mkuuAkili zako za kushikiwa sasa nan anakusikiliza nenda darasan!embu fuatilia ninapofanya kazi na all that then uone kama kila anaenda kusoma katoka form six!
Umesahau kuna masters,masters deree nk
Pia nitofautishie apo..masters na masters degree..tofauti yake nin?Akili zako za kushikiwa sasa nan anakusikiliza nenda darasan!embu fuatilia ninapofanya kazi na all that then uone kama kila anaenda kusoma katoka form six!
Umesahau kuna masters,masters deree nk
Akili zako za o level bado unaandka X to mean S!sijakwambia nasoma masters nmekuonesha tuu sio kwamba kila anaenda shule ni katoka form six na anakwenda kusoma degree!Kumbe hzo nlizotaja hapo juu ni specification za brain yako!Xa masters mkuu hujui ata basic specs za computer kweli? Utakuwa utani mkuu