Picha mzee, nikupe 250, MbeyaNina hp yenye ram 4gb na hard disk 500gb nauza laki 3 kuna mambo yamenitinga. Ongeza hela upate kitu cha maana
230k nikupe mini ya hp yenye kukaa na charge 5 hours ram 2gb,Hdd 250gb,Bluetooth,webcam na n.knimeshindwa nimejikaba sana laki mbili ndo mwisho wangu
boss230k nikupe mini ya hp yenye kukaa na charge 5 hours ram 2gb,Hdd 250gb,Bluetooth,webcam na n.k
Uhuru opposite na shule ya Benja next na jengo la China mobile kuna duka wanauza vifaa vya gym Frem inayofuata wanauza laptop za bei hiyo mkuu,pita paleNimefulia jamani.
Natafuta laptop nina laki na nusu.
0625533419
Toa 170k nikupe dell laptop siitumii ila nzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ninayo nyingineNimefulia jamani.
Natafuta laptop nina laki na nusu.
0625533419
Vipi imechukuliwa?Nina hp yenye ram 4gb na hard disk 500gb nauza laki 3 kuna mambo yamenitinga. Ongeza hela upate kitu cha maana
Njoo nikuuzieNimefulia jamani.
Natafuta laptop nina laki na nusu.