algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 910
WEKA DETAILS ZAKE HAPA AU NI P.M TUFANYE BIASHARA..
Unahitaji haraka??[emoji2] [emoji15] [emoji15] chukuaNahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana..
Vigezo vya laptop ni hivi
1. Iwe H.P au Dell
2. Iwe na RAM at least 4GB.
3. Processor iwe i5 au i3.. but i5 itapewa kipaumbele zaidi..
4. HDD iwe 500GB au zaidi..
Kwa sasa napatikana Moshi mwenye nayo ani-pm mara moja tufanye biashara au weka dau lako hapa na vigezo vya laptop uliyonayo nitakutafuta.. pesa ipo mkononi.. Hata kama upo dar unaweza kufanya utaratibu pc ikatumwa pesa itatolewa baada ya kuona mzigo na kuridhika..
OKUnahitaji haraka??[emoji2] [emoji15] [emoji15] chukua
WEKA DETAILS ZAKE HAPA AU NI P.M TUFANYE BIASHARA..
ok nimeku-pmNimekutumia PM Namba ya simu. Nicheki katika hiyo namba.
ok thanks kwa taarifa.. bei yako ipo juu sana kutokana na ukubwa wa specifications zake.. hiyo sitaiweza nashukuru ndugu..
Hizo zipo 4 nauza 2 ni touch 2in 1 moja ni ya kawaida, nilikuwa na order ya kusupply sehemu wakazingua. Zipo Dar naziza kwa bei nilolipia $800. Kama upo serious ni pm.
Sawa mkuu nimekuelewa. Ukibadili mawazo nicheck tu.ok thanks kwa taarifa.. bei yako ipo juu sana kutokana na ukubwa wa specifications zake.. hiyo sitaiweza nashukuru ndugu..
pa1..Sawa mkuu nimekuelewa. Ukibadili mawazo nicheck tu.
mkuu nimesha ku-pm saivi .. check saivi..Ebwana algorithm, nimekucheki kupitia namba uliyonipa PM, ila inapokelewa na mtu mwengine tofauti kabisa. Hebu icheki kama namba uliyonipa ni sahihi ama laa.
Vp complex laptop imenunuliw au bado ipoHP elitebook 8440p
RAM 6GB
Harddisk 500 GB
Proceasor 2.6 GHz, Core i5
NVIDIA graphix card
DVD writer
14 inches display.
Asking price 450,000 Tsh. Maongezi yapo.
If interested check me PM nikupe namba ya simu. Location nipo DSM.
Picha nitakutumia nikirejea home.
bado inahitajika machine moja ya 300,000 .. mwenye nayo anicheki mara moja tufanye biashara..Nahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana..