Nahitaji Laptop, bei isizidi 400,000/=

Nahitaji Laptop, bei isizidi 400,000/=

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji laptop brand yoyote yenye sifa zifuatazo Hdd at least 500GB,RAM2GB,webcam,dvd rw,processor dual core,mmc slot na charge angalau saa 1.5 ikiwa inatumika
Nipo Geita kwa wateja wa Mwanza ni priority kwa walioko mbali tunaweza kufanya biashara kama kutakuwana uwezekano wakukagua mzigo
Nicheki whatsapp 0757492828
 
hebu onana na mathematics yeye anauza hizo laptop atakusaidia
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji laptop brand yoyote yenye sifa zifuatazo Hdd at least 500GB,RAM2GB,webcam,dvd rw,processor dual core,mmc slot na charge angalau saa 1.5 ikiwa inatumika
Nipo Geita kwa wateja wa Mwanza ni priority kwa walioko mbali tunaweza kufanya biashara kama kutakuwana uwezekano wakukagua mzigo
Nicheki whatsapp 0757492828
 
Last edited by a moderator:

Nimeku whatsapp 🙌🙌🙌
 
Nitafute mimi nitakupatia brand new kutoka dukani na ina resiti na guarantee pia
 
njoo hapa jengo la ccm mkoa wa mwanza kuna ofisi inaitwa absolute solutions ltd hakika utapata mzigo wa uhakika hutokaa ujue ukifka ulizia bonge ni ghorofa ya nne
 
wmjgptarrgoewj zako hiyo no ya simu ameweka ya kazi gani sasa?

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom