Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,369
Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe..

Kumbe unaomba usaidiwe,nilifikiri unataka ya kununua.
Ipo Hp i5 Duo core,Ram 6gb,hdd 600 inatakiwa 550,000/=
Kama uko mwanza ninayo HP used, 2GB RAM, 500GB Hard disk. Bei 280,000
Mpya ama used?