wadau wa jukwaa habari
Nimepata simu ya HTC herm200 na nahitaji kuiunganisha na computer yangu lakini nikiichomeka na usb cable haionekani.Lakini nimesikia kuna software lazima uinstall kwanza kwenye pc halafu ndo simu itaonekana.Kama ni hivyo ni software gani inahitajika na nawezaje kuipata.Na vile vile button za nje hazifanyi kazi sijajua ni setting au ni mbovu button zake.Naomba msaada wenu wakuu.Na kama kuna ziada si vibaya mkaniongezea kuhusu hii simu
MKuu poposindege acha kuniangusha bana dont you know how to google? hv you try to google "how to connect htc herm200 to pc"
Unayo simu na model yake unashindwa ku google kujua os yake? I told u to make google your best friend.
Anyway simu yako ina os windows mobile 5 labda kama imefanyiwa upgrade to windows 6 or 7, ukitaka kujua just google
Ili ku connect na pc ni muhimu kujua unatumia os gani katika pc yako,
unaweza kuiconnect ktk windows xp kushuka chini kwa kudownload na kuinstall katika pc yako software inaitwa ActiveSync 4.5 dMicrosoft ActiveSync
Kama unatumia windows vista na windows 7 unatakiwa utumie software inaitwa Mobile Device Center 6.1 Microsoft Windows Mobile Device Center
Kuhusu hizo keys jaribu kugoogle ukishindwa kama hujainstall vitu vya maana nakushauri ifanyie hard reset utajua kama ni mbovu au la. how to hard reset google it
Nenda kwenye site ya htc utakuta type zote za simu za htc,click kwenye type yako ya simu and utapata details zote on how to operate and connect hiyo simu yako.