Klay King Senior Member Joined Apr 3, 2019 Posts 148 Reaction score 277 Jan 29, 2020 #1 Habari za leo wakuu Nina shida na till ya M-Pesa kwa haraka. Documents zote zipo anayeweza kuni connect na mtu wa Vodacom akanifanyia kwa haraka basi ya maji haikosekani. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za leo wakuu Nina shida na till ya M-Pesa kwa haraka. Documents zote zipo anayeweza kuni connect na mtu wa Vodacom akanifanyia kwa haraka basi ya maji haikosekani. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,413 Mar 23, 2021 #2 Nenda voda shop mkuu hapa itakua mbwembwe tu