Platnumking New Member Joined Jun 30, 2022 Posts 4 Reaction score 3 Jul 4, 2022 #1 Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi. ASANTENI
Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi. ASANTENI
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,749 Jul 5, 2022 #2 mkuu umejieleza ila bado hujajieleza sana. hao chotara lengo ni kuuza wa nyama au lengo ni kufuga watage? maana vyakula vyao vitatofautiana. mbili, uko mkoa gani na nini kinapatikana zaidi.
mkuu umejieleza ila bado hujajieleza sana. hao chotara lengo ni kuuza wa nyama au lengo ni kufuga watage? maana vyakula vyao vitatofautiana. mbili, uko mkoa gani na nini kinapatikana zaidi.
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,749 Nov 18, 2022 #3 Unapoomba msaada uwe unaweza kujibu ili uweze kusaidiwa