Nahitaji kununua smartphone ya Tecno

Nahitaji kununua smartphone ya Tecno

Tecno h6 ipo silver color used for 3months ina waranty na receipts zake. Pm kwa mawasiliano
 
0655 518090 !!!! Mimi nitakupa tecno mpya kabisa ... Brand new and sealed !!! Warranty 12 months !!!! Njoo dukani kwangu
 
nakushauri kitu kimoja sahihi saana .

Nenda duka lolote pale Kariakoo linalouza simu,au popote ulipo /mkoani . Nunu simu Inaitwa Techo L6 .

Ni simu yenye Screen nzuti saana ,pia ina uwezo mkubwa wa battery.

Bei ya mwisho niliyoulizia ilikua ni 214,000/= Tsh .
Nzuri saana .
huwe jutia .Kama upi Serious hiyo ndio simu sahihi kwa Badget yako .
 
Mandella acha kumdanganya jamaa ... L6 ni 214,000 ??? Hiyo bei labda atakupa ndugu yako au duka ambalo umechangia mtaji !!!! Jamani msitaje bei za kupotosha watu !!!! Arafa naomba uende duka analokuelekeza jamaa na ukipata L6 kwa bei hiyo, niletee simu 10 dukani kwangu !!!
 
Hizi simu ni 270,000
 
Mimi nataka arafa aende kuulizia mwenyewe kisha atajua bei halisi ya L6 !!!
 
Mmmhhhh, humu kuna mipasho kuliko ya Isha Mashauzi
 
NJOO NIKUPE TECNO H5 Kwa 85 elfu. haipungui bei hata senti
 
Mandella acha kumdanganya jamaa ... L6 ni 214,000 ??? Hiyo bei labda atakupa ndugu yako au duka ambalo umechangia mtaji !!!! Jamani msitaje bei za kupotosha watu !!!! Arafa naomba uende duka analokuelekeza jamaa na ukipata L6 kwa bei hiyo, niletee simu 10 dukani kwangu !!!

Safi sana mkuu, kuna watu wanadanganya uma, i had felt bad nikidhani nilitapeliwa kwakweli, nimenunua Mwanza hiyo simu past 2 Months kwa 280. Ni simu nzuri sana aisee, i'm enjoying tecno.
 
nakushauri kitu kimoja sahihi saana .

Nenda duka lolote pale Kariakoo linalouza simu,au popote ulipo /mkoani . Nunu simu Inaitwa Techo L6 .

Ni simu yenye Screen nzuti saana ,pia ina uwezo mkubwa wa battery.

Bei ya mwisho niliyoulizia ilikua ni 214,000/= Tsh .
Nzuri saana .
huwe jutia .Kama upi Serious hiyo ndio simu sahihi kwa Badget yako .

Fine and finally will be a BADGET
 
Hakuna Bei standar ya bidhaa ila kuna Range,inawezekana kununua L6 pia chini hata ya laki 2 inategemea MUUZAJI KAIPATAJE.
 
Hiyo l6 ni dola 160 tu so mcmbeze huyo anayesema 214k inawezekana,sababu p5+ ni dola 110 na kkoo inauzwa 160k,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom