I Ismail kondo Member Joined Dec 6, 2013 Posts 13 Reaction score 5 Apr 8, 2015 #1 Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,254 Apr 8, 2015 #2 Ismail kondo said: Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie Click to expand... uko wapi? unahitaji kuku wangapi? wa jinsi gani? na kwa matumizi yapi? nijibu hayo tumalize biashara.
Ismail kondo said: Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie Click to expand... uko wapi? unahitaji kuku wangapi? wa jinsi gani? na kwa matumizi yapi? nijibu hayo tumalize biashara.
I Ismail kondo Member Joined Dec 6, 2013 Posts 13 Reaction score 5 Apr 8, 2015 Thread starter #3 Wa biashara saiz ya kat npo moro kama 50
Qualifier JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,252 Reaction score 407 Apr 8, 2015 #4 Ismail kondo said: Wa biashara saiz ya kat npo moro kama 50 Click to expand... ninoa Niko chita bei@ 12000 flat rate kwa majogoo na matetea
Ismail kondo said: Wa biashara saiz ya kat npo moro kama 50 Click to expand... ninoa Niko chita bei@ 12000 flat rate kwa majogoo na matetea
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,254 Apr 8, 2015 #5 ok Nina weza kukuuzia kuku kuanzia 10000-15000 kulingana na size unayohitaji.
D Deo Benjamin JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 308 Reaction score 92 Apr 8, 2015 #6 Hornet said: ok Nina weza kukuuzia kuku kuanzia 10000-15000 kulingana na size unayohitaji. Click to expand... Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?..
Hornet said: ok Nina weza kukuuzia kuku kuanzia 10000-15000 kulingana na size unayohitaji. Click to expand... Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?..
M MBUNGE WA KUJITOLEA Member Joined Sep 19, 2012 Posts 21 Reaction score 8 Apr 9, 2015 #7 ninao, ni wakubwa kwa maumbo yao. Bei 15000.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,254 Apr 9, 2015 #8 Deo Benjamin said: Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?.. Click to expand... mayai hayo kuyakusanya kwa kipindi hichi ni vigumu. nahusika na kuku tu.
Deo Benjamin said: Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?.. Click to expand... mayai hayo kuyakusanya kwa kipindi hichi ni vigumu. nahusika na kuku tu.
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,527 Apr 11, 2015 #9 Deo Benjamin said: Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?.. Click to expand... niPM namba zako tufanye mambo mkuu
Deo Benjamin said: Nina mteja anataka mayai ya kuku wa KIENYEJI 1200 vipi anaweza kupata nikupe number yake?.. Click to expand... niPM namba zako tufanye mambo mkuu
dullyisha Member Joined Aug 23, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Apr 11, 2015 #10 Anayetafuta hao kuku na mayai anitafute kwa namba 0764315570
Refrector Senior Member Joined Mar 13, 2014 Posts 187 Reaction score 118 Apr 10, 2017 #11 Kwa vifaranga kuku kienyeji 2400/=vijogoo wa nyama 1200/= 0657257509 na mayai ya kienyeji @500/= kwa mda wwte utakao karibuni sana tukuhudumie.
Kwa vifaranga kuku kienyeji 2400/=vijogoo wa nyama 1200/= 0657257509 na mayai ya kienyeji @500/= kwa mda wwte utakao karibuni sana tukuhudumie.