Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,
Nilizan utasema jogoo Kuchi,Singamaganzi au Bukin!!maana ndio kuku pure wa kienyej ninao wajua mimi nikisikia Australia najua hapo lazima kuna nusu mzungu nusu mswahili samahan ufafanuz kidogo mbegu ya Australia n kienyej pure?
Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,