Nahitaji kukopa fedha

DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,496
Reaction score
5,101
Habari zenu wakuu.

Naomba kama kuna mtu au kikundi kinaweza kunikopesha sh. Laki 5 kwa riba anijuze tuwasiliane.

Niko Dar es salaam.
 
akishakamilisha hitaji lako, wiki inayofuata unaanzisha uzi kuponda wakopeshaji wasio na leseni na kuitaka serikali iingilie kati. wapo wa kuwasaidia lkn mtanzania sio kioaumbele cha kwanza kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…