geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
ni sawa inaitwa kirikuu ila note the difference kipipili vs kipilipiliMkuu Kipilipili........hiyo si ndio inaitwa kirikuu........?.......
kirikuu inabebeshwaga mbao kibao,sembuse hao watu tu looh!
nakubaliana nawewe kuwa inabeba kilo 350, but that is capable of carrying even a ton that i swhy is called carryWatu 10@kilo65 kwa makisio jumla kilo 650
Kitaalam Kirikuu inabeba kilo 350
Note: watu wa mbeya kiasilia wameshiba kilo65 ni makisio ya chini
TAFAKARI CHUKUA TAHADHARI, haki kirikuuuuu!!
nakubaliana nawewe kuwa inabeba kilo 350, but that is capable of carrying even a ton that i swhy is called carry
So unataka yenye siti kabisa?
Si vema kukodisha gari kwa mkataba wa kazi inayozidi uwezo wa kazi. Gari inaweza kuhitaji kubadilisha injini baada ya kazi hiyo.