Hivi kuna uwezekano wa mwanamke kupitiliza muda wa hedhi hata kama tarehe husika imefika?kupitiliza huko kukafikia hadi wiki 2 mpaka 3..naombeni maelekezo wataalam
Inwezekana lakini muda mwingine ni matatizo na muda mwingine inategemea na halia yahewa kama kabadilisha mazingira.
Kuna vitu ambavyo vinasababisha hedhi kupitiliza muda wake.
1. Msongo wa mawazo.
2. Mlo( nikimaanisha mpangilio au aina ya vyakula anavyokula)
3. Maradhi
4.Matumizi ya dawa mara kwa mara
5.Kupungua uzito
6. Kuwa na uzito ulozidi
Jaman yule mdau kajipima kwa kile kipimo kinachoitwa Nova,,preginancy test kakuta ni negative,,.lakin mpaka leo hii bado hajapata hedhi...Sasa anaamua kwenda kupimia hospital..kweli kuchelewa kote huko hakuna shaka

Mimi nina mfano wa ubavu wangu kama miezi nne iliyopita amekuwa akikaa hata wiki 3 baada ya siku zake kufika bila kuona hata dalili za kuingia au kuziona siku zake lakini wiki ya nne mwanzo akaingia. Na hii imemtokea mara tatu sasa. Labda wataalamu wanawezasema zaidi chanzo cha kukaa mda mrefu hivo ni nn.
Inawezekana kabisa lkn inategemeana na sababu. Mfano kama mwanamke alitumia emergence contraceptives zile hua zinachange mzunguko.so wakati mnasubiri trh fulani inaweza kurushwa mbele hata majuma mawili
Jaman wadau mm bibie anatatizo Leo siku ya kumi bado ana bleed and her normal flow is about three dayz what is cause and how anaweza kuavoid that?!!
Your help is of important
Jaman wadau mm bibie anatatizo Leo siku ya kumi bado ana bleed and her normal flow is about three dayz what is cause and how anaweza kuavoid that?!!
Your help is of important
aende hosp kwa maelezo zaidi asimfiche docta..
mimi nilibleed mwezi mzima nikaenda tu duka la dawa nikaeleza wakanipa dawa flani zinakata bleed za mwezi mzima halafu zinaset period upya
zinaitwa promoteN jina kama hilo japo sikumbuki vizuri