Nahitaji kuelewa

kalo

New Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habar zenu wapndwa, poleni na majukumu ya kila cku, naomba kuuliza hiv hawa watu wa zoom wanaotupia matangaz ya kaz then ukitaka kuapply mbna anwani sizioni wenzangu tnafanyaje? Tueleweshane manake mambo ya kidigital haya ni shida kwa wengine. Msaada tafadhali kwa yyte anayeelew
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…