[emoji3][emoji3]Yani mtu akupe Benzi alafu wewe umpe hiyo Screppa? Mkuu, mpaka sasa umeshautwika chupa ngapi?
This is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...Mkuu Hiyo lugha sio nzuri kwa uzi wa mtu. Kama hujui bora upite tu. Ndio maana nimeweka mwaka hapo kwa sababu sio benz zote zina thamani sawa na hii gari yangu. Nyingi za mwaka 2000 haziifikii thamani hii gari yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mnapenda kutukanwa.Habari wadau! Nina gari aina ya Toyota MarkII JZX100 model. Nilikuwa nahitaji kubadilishana na benz yoyote ya mwaka 2000 na kuendelea. Au gari yoyote nzuri, Kwa aliye tayari aje tuyajenge. View attachment 846910View attachment 846911
Sent using Jamii Forums mobile app
This is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
Duh kwa hiyo fekon ni bei mbaya kuliko hiyo Mark II hahahahahahahahaThis is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
Ngoja nimbadilishie na ndama wa punda akauze kwa wachinaThis is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
Azingatie huo ushauri mzuriMtoa mada nakupa moyo na kila kitu kinawezekana!
mfano!Ungeanza na madalali wa magari na uwaambie hivi Una gari yako unataja model na aina ya gari na useme unatafuta gari fulani na uko tayari kuongezea Fedha!!Hiyo nadhan ndio itakuwa Lugha nyepesi ya kuwashawishi!!
Mie binafsi nilifanikiwa Mwaka Juzi!!So usife moyo
Sent from my iPhone using JamiiForums