THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Ahsante mkuu nimechukua ushauri wako.Kampuni nzuri ni
1. Trust (JapaneseVehicles.com)
2. Autocom Japan
3. Real Motor
4. Enhance Auto
Hawa wana gari nzuri kwa uziefu wangu mdogo nilionao. Unaweza kucheki SBI Motor pia ila sijawahi kuitumia wala sijui mtu aliyetumia
Tofauti ya hizo Vanguard za hiyo miaka naona kama ni bodykits tu na steering wheel. Kama kuna tofauti nyingine naamini.
Zingatia ubira wa hizo gar kabla hujaagiza, cheki inspection sheets, kutu, dents. Zingatia mwaka pia ili iwe na uhakika wa ushuru wake itakapofika. Ikishafika hakuna kikubwa unachoweza kufanya zaidi ya service tu
Wana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.Kampuni nzuri ni
1. Trust (JapaneseVehicles.com)
2. Autocom Japan
3. Real Motor
4. Enhance Auto
Hawa wana gari nzuri kwa uziefu wangu mdogo nilionao. Unaweza kucheki SBI Motor pia ila sijawahi kuitumia wala sijui mtu aliyetumia
Tofauti ya hizo Vanguard za hiyo miaka naona kama ni bodykits tu na steering wheel. Kama kuna tofauti nyingine naamini.
Zingatia ubira wa hizo gar kabla hujaagiza, cheki inspection sheets, kutu, dents. Zingatia mwaka pia ili iwe na uhakika wa ushuru wake itakapofika. Ikishafika hakuna kikubwa unachoweza kufanya zaidi ya service tu
Wana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.
Be forward ni baba lao,,wana gari nyingi mnoo,so unachagua gari uwezavyo.
Agiza kupitia kampuni ya tradecarview
Mkuu nenda be foward gari zipo makini na machaguo ni mengi hutajutaVipi hawa africars Tanzania??
Wa pale magomeni
Upo sahihi, kuna mdogo wangu aliagiza subaru impreza kupitia be4wadi ilifika hapa na kupiliza garage, ikala kama 1.5 ili ikae sawa maana huko miguuni kote kulikuwa hoi... ila pia kuna classmate wangu aliwahi agiza hiace ikafika iko poa tu... sasa ni kuwa makini tu.Beforward wana gari nyingi lakini sina hakika na ubora. Sikutaka kusema hili kwa sababu sijutaka kugeneralize wala sikutaka kuharibu biashara ya watu. So nilimpa hizo ambazo nina uzoefu anagepata gari nzuri.
Nimeshaagiza gari 2 na autocom, 1 na trust, na watu wangu wa karibu sana wawili waliagiza real motor.
Wawili nafahamu waliagiza Beforward, niseme tu labda walikuwa na bahati mbaya (condition haikuwa nzuri)
Be forward wapo vizuri na unalipia kwenye akaunt Yao hapa hapa TZ wana-reserve gari. Kisha wao ndo watatuma pesa JapanWana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.
Be forward ni baba lao,,wana gari nyingi mnoo,so unachagua gari uwezavyo.
Check japanesevehicles.com ingawa huwa ni expensive ila grade zao ni uhakika.
Utafuti wa Vanguard, za nyuma zina key, hizi nyingine ni keyless.
Pia kuwa makini kuna zenye engine 2360 na nyingine zaidi ya 3000cc na huwa ni cheaper.
Kuna zingine seven seater, nyingine ni 5.
Nachukua maoni yako mkuuCheck japanesevehicles.com ingawa huwa ni expensive ila grade zao ni uhakika.
Utafuti wa Vanguard, za nyuma zina key, hizi nyingine ni keyless.
Pia kuwa makini kuna zenye engine 2360 na nyingine zaidi ya 3000cc na huwa ni cheaper.
Kuna zingine seven seater, nyingine ni 5.
Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.Beforward wana gari nyingi lakini sina hakika na ubora. Sikutaka kusema hili kwa sababu sijutaka kugeneralize wala sikutaka kuharibu biashara ya watu. So nilimpa hizo ambazo nina uzoefu anagepata gari nzuri.