HABARI ZENU
Ndugu zangu wana forum naomba msaada juu ya hiyoo cm yangu tajwa hapo juu nahitaj kuroot ili niweze kuinstall google playstore naomba mwenye kujua anisaidie zaid maana nimeshajaribu sana nimeshindwa naomba ushauri mbali mbali kama upo msaada jaman