hUJAWA MUWAZI ZAIDI....Salaam wadau..nahitaji korosho.Kama kuna mtu anadeal na hii biashara au anajua mtu au kampuni inayodeal na hii biashara pls tuwasiliane kwa namba 0686 666666.Asanteni
Kuja pm nikuulize machache kama inawezekana.Zilizobanguliwa mkuu
Hahahaaaa! Mpinga kristuHiyo namba mbona kama ya kishetani?