huko kote uliko taja kuna umeme,maji,barabara ila sina uhakika ni kwa kiwango utakacho!!wewe unataka umeme wa aina gani,je maji ungependa ya namna gani?barabara ya vumbi kwako pia ni barabara au wataka lami!!
Kipo kiwanja hekari 1,kivule umeme,maji,lami bei mil.250ukiomba utapunguziwa kidogo
Mimi ninacho majohe njia ya Chuo, ukubwa 20 *20 hakina hati ila karatasi zote muhimu nnazo, bei m6 anaehitaji Ani pm kiko kwenye barabara ya mtaa unaweza kuweka frem za biashara
Magomen fundikira kuna eneo la kujenga room 4 za straight for 1Mil. 0766589444