facts only
Member
- Dec 9, 2016
- 31
- 37
Njoo nikuuzie changu kipo chanika buyuni 4m sqm 316 kimepimwa na halmashauri na kina hati tayari kipo eneo zuri sana barabarani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukubwa ganiKama Kichwa kinavyo jielezea; nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, Budget yangu ni 8,000,000/=
Wahusikia karibuni 0786328632
HahahaaaHivi huwa mnakurupuka tu kuandika eti.!?? Wapi alipo andika kuwa anataka kiwanja Chanika.??? Mleta mada anataka kiwanja maeneo ya Goba na si chanika kama huna kiwanja maeneo hayo kaa kimya, kenge ww
Ni 20 kwa kumi na ngapi?Njoo nikuuzie changu kipo chanika buyuni 4m sqm 316 kimepimwa na halmashauri na kina hati tayari kipo eneo zuri sana barabarani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikiwepo mpaka mwezi 4 tutaarifiane.Kibaha kwa Mathias 20 kwa 30 milioni mbili na nusu.20 kwa 20 milioni mbili
Kibaha kwa Mathias 20 kwa 30 milioni mbili na nusu.20 kwa 20 milioni mbili
3 km wanaweka lami sasa