Nahitaji kiwanja

Nahitaji kiwanja

Njoo nikupe kiwanja Zinga bagamoyo mwendo wa kutembea kwa miguu kwa dk 10 tu kutoka main road chenye ukubwa wa 25 kwa 40 square meters kwa Tsh. 6M tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie cha kwangu kipo toa ngoma mtaa fulani unapendeza naimani utapapenda tu, usikalili hayo majina ukipelekwa we mwenyewe utashangaa kwamba bora ukaishi ushetu shinyanga unakuta ni machakani bei juu unaambiwa ndio kuna mpango wa kutengeneza barabara.
Nahitaji kununua kiwanja maeneo ya Kiluvyaa, Kibaha, Bagamoyo,Tegeta na Boko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie cha kwangu kipo toa ngoma mtaa fulani unapendeza naimani utapapenda tu, usikalili hayo majina ukipelekwa we mwenyewe utashangaa kwamba bora ukaishi ushetu shinyanga unakuta ni machakani bei juu unaambiwa ndio kuna mpango wa kutengeneza barabara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Toa ngoma ni wapi na bei zake zikoje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom