Eneo liwe linafikika kwa gari. Kama ni daladala iwe moja au mbili hadi mjini kati. Napendelea morogoro road au maeneo ya bagamoyo road. ( sio bagamoyo) kiwanja kiwe kimepimwa ni vizur zaidi. Bei ya kiwanja isizidi Tsh mil. 10. Unahakika unafikia sifa hizo nipigie 0714456020