Hiiii guyz nahitaji kiwanja cha kununua cash maeneo ya chanika kiwe tambarare ukubwa wa 40*40
Nahitaji kiwanja kkoo kisizidi milioni moja
Type errow mia moja za magu![]()
![]()
![]()
![]()
Miliona moja dolari au hii pesa madafu ya uncl magu!?
Type errow mia moja za magu
Duhh! Kwetu handeni wapata mtaa mzima kweli hilo ni jiji sio kijijihta hizo milioni miamoja huwezi kupata ni bei ya kulipia kodi ya mwaka kwa fremu tatu mtaa msimbazi pale
hiki cha sqm 1,600 unauzaje ndugu ?![]()
1600 sqm chanika buyuni block 4 Njoo PM tuzungumzee mkuu
Kinauzwaje hichi kiwanja mkuuChanika 1200 sqm na kimepimwa kipo na tshs ngapi?
kaka njoo PM tuzungumzeKinauzwaje hichi kiwanja mkuu
Hicho kipo Chanika sehemu gani?NJOO NIKUPE HEKA 3.5 MIL.6.5 KIPO ROAD NA NI CENTER NICHEKI 0764726071 AU 0624078252