Nahitaji kiwanja mwanza

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,765
Mwenye kiwanja na mahali kilipo anipe infos ,usisahau kuweka na ukubwa wa kiwanja na bei yake na sifa yingine
 
Kishiri sgm 900,tuwasiliane kama uko interested
 
muwe mnataja na bei kabisa.
 
Mwenye kiwanja na mahali kilipo anipe infos ,usisahau kuweka na ukubwa wa kiwanja na bei yake na sifa yingine

Nyegezi -malimbe unakatiza katikati ya chuo cha Sauti kina ukubwa wa square meter 900 kasoro na kimejengewa fensi kabisa
 
Reactions: lup
Nenda mwanza kasome vibao vya madalali kwenye nguzo za umeme. Sio ukipata vi mia mbili vyako hapa unakuja koropoka ili tujue umepata
Ilikupasa upite tu bila comment
Hujamtendea haki otherwise una wivu tena wa kike
Maana umu wengi wanakujaga na matangazo kama haya sioni cha ajabu hapa
By the way jirekebishe
Have a nice weekend
 
Nenda mwanza kasome vibao vya madalali kwenye nguzo za umeme. Sio ukipata vi mia mbili vyako hapa unakuja koropoka ili tujue umepata
Duh huyo ndugu kakukosea nini kwani?
Mi najua wana-JF ni ndugu na kujadiliana, kusaidiana na kupeana mawazo ndio zetu. Why hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…