Nahitaji kiwanja maeneo ya Goba

BUKONGO

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
169
Reaction score
17
Habari zenu nahitaji kiwanja maeneo ya Goba kisiwe mbali na barabara kuu, na kiwe kinafikika kwa urahisi, umeme uwe jirani, Bajeti yangu ni 6million ila naweza kuongeza kidogo kulingana na ukubwa wa eneo. ambaye yuko serious ani PM.
 
Picha za eneo na kiwanja
 
Attachments

  • 1419271339865.jpg
    96.7 KB · Views: 169
  • 1419271365112.jpg
    85.2 KB · Views: 149
  • 1419271391922.jpg
    103.1 KB · Views: 135
  • 1419271541068.jpg
    67.7 KB · Views: 160
  • 1419271596462.jpg
    97 KB · Views: 149
  • 1419271622805.jpg
    66.8 KB · Views: 154
vipo vingi Goba .unachagua chako .vimepimwa na vina offer .vilivyopimwa na vinabarabara vipo kwenye mpangilio mzuri.tuwacliane whatsap 0713 95 92 90
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…