Nahitaji kiwanja ,kibada kigamboni offer :isizidi 20m

kiwe na title deed, isizidi 15km from ferry, kisipungue 1200 sq m

Square meters 1200 zenye title deed huwezi kupata kibada mkuu. Njoo uchukue heka nzima kwa milioni 12 hapo hapo kibada. Utakachofanya, utachukua mtu wa GPS wizara ya ardhi uje nae apime kuangalia kama kuna mradi au linamilikiwa na mtu mwingine.
Eneo Lipo pazuri na kuna nyumba mpya nyingi karibu.
 
Asante Ndugu, nitumie contacts zako kwenye inbox, alafu ni KMs ngapi toka ferry? tutawasiliana zaidi kwenye simu, Much appreciated
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom