Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 793
- 2,302
Makazi, Makazi na Biashara au biashara?Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Car Wash.Makazi, Makazi na Biashara au biashara?
Budget yako?
Hupati wazee wa mikopo wameshaviteka we angalia Nzuguni au maeneo ya Nala ni uhakika zaidiNahitaji kununua kiwanja Dom.
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Kipo million 170Car Wash.
Tuwasiliane,Mimi ni contractor niko Dodoma so naweza kusaidia kwenye hilo#0752565425Nahitaji kununua kiwanja Dom.
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Wazee wa mikopo Ni kina Nani?Hupati wazee wa mikopo wameshaviteka we angalia Nzuguni au maeneo ya Nala ni uhakika zaidi
400sqm??Kipo million 170
Zipo sqm 300400sqm??
How muchZipo sqm 300
Zile kampuni za Real Estates wameshashikilia viwanja vyote vinavyoweza kumpa mtu utajiri au pesa kwa namna nyingi.Wazee wa mikopo Ni kina Nani?
Ninacho cha sq metres 56Nahitaji kununua kiwanja Dom.
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
DangerousZile kampuni za Real Estates wameshashikilia viwanja vyote vinavyoweza kumpa mtu utajiri au pesa kwa namna nyingi.
Hata maeneo ya Mkonze ili upate kiwanja barabarani ni lazima umwage pesa chafu kwao vinginevyo usogee Mpunguzi au uuziwe na Mgogo mwenye njaa
Bei ganiNinacho cha sq metres 56
Million 170How much
Ninacho Nala ya Kwanza,karibu ukione tufanye Biashara, napatikana kwa namba 0620333409Nahitaji kununua kiwanja Dom.
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.