julius junior Member Joined May 22, 2014 Posts 97 Reaction score 35 Feb 9, 2015 #1 Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali
Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali
J Julius Malema Jr JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 653 Reaction score 155 Feb 9, 2015 #2 julius junior said: Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali Click to expand... Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza
julius junior said: Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali Click to expand... Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza
J Julius Malema Jr JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 653 Reaction score 155 Feb 9, 2015 #3 julius junior said: Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali Click to expand... Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza ardhi na wakiuza ni ghali tafta 10m utapata kiwanja kizuri
julius junior said: Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali Click to expand... Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza ardhi na wakiuza ni ghali tafta 10m utapata kiwanja kizuri
julius junior Member Joined May 22, 2014 Posts 97 Reaction score 35 Feb 9, 2015 Thread starter #4 Julius Malema Jr said: Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza ardhi na wakiuza ni ghali tafta 10m utapata kiwanja kizuri Click to expand... Dah, kweli mkuu... itabidi niongeze mpunga tena
Julius Malema Jr said: Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza ardhi na wakiuza ni ghali tafta 10m utapata kiwanja kizuri Click to expand... Dah, kweli mkuu... itabidi niongeze mpunga tena
Nyaore Member Joined Apr 18, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Feb 9, 2015 #5 Mkuu kama hutojali sogea pande za huku Kikatiti na uwe na 5m utapata kiwanja kikubwa na kizuri, 2m vipo lakini ni vidogo na ni mbali na mji. Nicheki inbox tubonge
Mkuu kama hutojali sogea pande za huku Kikatiti na uwe na 5m utapata kiwanja kikubwa na kizuri, 2m vipo lakini ni vidogo na ni mbali na mji. Nicheki inbox tubonge