Nahitaji kiwanja Arusha

Nahitaji kiwanja Arusha

julius junior

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
97
Reaction score
35
Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali
 
Nahitaji kiwanja Arusha, maeneo ya Kwa pole, kwa mrefu, Ngulelo, Moshono au Tengeru being isizidi M2 (milioni mbili) mwenye nacho ani PM tafadhali

Milion mbili upat kwanza wameru kihstoria sio wauza ardhi na wakiuza ni ghali tafta 10m utapata kiwanja kizuri
 
Mkuu kama hutojali sogea pande za huku Kikatiti na uwe na 5m utapata kiwanja kikubwa na kizuri, 2m vipo lakini ni vidogo na ni mbali na mji.
Nicheki inbox tubonge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom