Aliyesema base ya kitanda ni 6ft ni nani??? Watu wengi wanalala wamejikunja mda wote wa maisha yao. Std base ya kitanda ni 7ft. So you should talk of 5 x 7 na siyo 5 x 6
Mkuu kwa hiyo hela yako utasumbuana tu bure na watu njoo na elf 80 nikupe futi tatu na nusu kwa sita na godorolake kama utalihitaji na hiyo elf 10 utafanya usafir