Kabisa mkuu na hata kama hauna pia bado unaweza weka physical address na mzigo ukaupata maana hata mimi nimetumia sana njia ya physical address na ili uzoee anza na items ndogo ndogo kama kujipata uzoefu na kujua taratibu zinakuwaje unaweza ukaanza na earphone za 5$ vi flash au memory card baada ya hapo sasa unaangia mzigoni rasmi.Shukrani sana mkuu.. Hapa unamaanisha hata nikiweka sanduku la posta bado mzigo nitachukulia dirishani?
Shukrani mkuu..
Shukrani sana.. Ngoja nianze mdogo mdogo!!Kabisa mkuu na hata kama hauna pia bado unaweza weka physical address na mzigo ukaupata maana hata mimi nimetumia sana njia ya physical address na ili uzoee anza na items ndogo ndogo kama kujipata uzoefu na kujua taratibu zinakuwaje unaweza ukaanza na earphone za 5$ vi flash au memory card baada ya hapo sasa unaangia mzigoni rasmi.
Kabisa mkuu na hata kama hauna pia bado unaweza weka physical address na mzigo ukaupata maana hata mimi nimetumia sana njia ya physical address na ili uzoee anza na items ndogo ndogo kama kujipata uzoefu na kujua taratibu zinakuwaje unaweza ukaanza na earphone za 5$ vi flash au memory card baada ya hapo sasa unaangia mzigoni rasmi.
Amazon sijawahi nunua hata usbcable na deal na aliexpress boss sana sana ila pia bila shaka inawezekana naamini sababu mzigo unapitia posta na posta wanakutumia sms mzigo ukifika unaenda na ID yako na namba ya mzigo ambayo wanakuandikia kwenye hiyo SMS mkuu.Ushawahi oda kitu amazon au ebay kwa kutumia hiyo physical address?
Hivyo vya free shipping utasubiri hata miezi miwiliShukrani sana mkuu.
Hivi ukiagiza kitu aliexpress kinafika hapa bongo baada ya siku ngapi mkuu?
Inategemea mkuu kuna free shipping ya aliexpress standard shipping hii iko fasta na ile singapore post hawa wote wawili wanatumia SINGAPORE AIRLINE ambaye carrier yuko fasta sana katika ku ship ila akitumia registered na china hapo mzigo atasubri sana na hizi hasa kwa small items ni kuzikwepa tu pale unapochagua aina ya usafiri.Hivyo vya free shipping utasubiri hata miezi miwili
Sibiri nikupe price quote boss wangu from aliexpress
Hawa ni seller ambao review zao nzuri na customer wana recommend kulingana na ubora wa items na hata kuuza wanauza sana.
Muhimu kuanza kufatilia review za buyers kabla hujanunua parts za simu.
View attachment 1128862View attachment 1128863View attachment 1128864
Mfano hicho cha S8+ ni kioo tu cha juu ama full display?BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
.TSH.
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k
βπΉ; ππππ βπ πβππΎπβπΈπ, βπΈ ππΈββπΈβππ ππΈ πππΌβ€π πππΌβ€π π
Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Complete kinakuwaMfano hicho cha S8+ ni kioo tu cha juu ama full display?
Cha juu peke yake inafika bai gani.Complete kinakuwa
Cha juu peke yake inafika bai gani.
50 elf
Mkuu cha juu unamaanisha hiki chenye lens? Maana nina S8 plus ilipasuka juu tu ndani kizima.
Then naweza pata protector original ya s10 plus?
Mkuu cha juu unamaanisha hiki chenye lens? Maana nina S8 plus ilipasuka juu tu ndani kizima.
Then naweza pata protector original ya s10 plus?
Cha Sumsung J2 bei Gani Mkuu?BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
.TSH.
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k
βπΉ; ππππ βπ πβππΎπβπΈπ, βπΈ ππΈββπΈβππ ππΈ πππΌβ€π πππΌβ€π π
Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Cha Sumsung J2 bei Gani Mkuu?
Ni Complete?J2 elf 50
Ni Complete?