Guys
kama unakingamuzi umekichoka...au hukihitaji tena...mi natafuta kimoja...bei elfu 35.
nahitaji sio kukitumia ila kuna vitu naviyaka toka mule ndani. kisiwe cha uwizi wala kisiwe kibovu.
kiwe online sababu kabla ya nmalipo nitaenda kukiulizia kama kipo poa ofisi za startimes.
so anyone interested...pm me
guys
kama unakingamuzi umekichoka...au hukihitaji tena...mi natafuta kimoja...bei elfu 35.
Nahitaji sio kukitumia ila kuna vitu naviyaka toka mule ndani. Kisiwe cha uwizi wala kisiwe kibovu.
Kiwe online sababu kabla ya nmalipo nitaenda kukiulizia kama kipo poa ofisi za startimes.
So anyone interested...pm me
bora umwambie, anataka kizima kwa 35!nunua kipya.
Bei mbona sio kubwa tsh. 59900/-
Hivi vya G tv bado vipo?? Kauze kama screpa..mimi ninacho cha G TV, KAMA HIVYO VITU UNAVYOHITAJI VIPO UMO NI PM FASTA NIVUTE MPUNGA HUO.
Hivi vya G tv bado vipo?? Kauze kama screpa..
Cha GTV hakifai..na nafahamu bei mimi nataka used sababu nikisha nunua hakitakuwa kizima tena so .... ngoja tusubiri aliyenacho na amekichoka na hakitumii tena. thanks all
nunua kipya.
Bei mbona sio kubwa tsh. 59900/-