Nahitaji IST namba D

Nahitaji IST namba D

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,245
Reaction score
2,387
Habari wana jamvi.

Nahitaji gari aina ya Toyota IST namba D
Rangi iwe kati ya silver, black au white.

Budget ni 7 - 8M.

Gari iwe haijarudiwa rangi.
 
Umakini na uzoefu tuu unahitajika mkuu.Maana siku hizi kuna utapeli wa kiwango cha 5G.Kama hujawahi nunua gari za 3rd hand jipange zaidi

Naomba unipe shule Mkuu!!
 
Habari wana jamvi.

Nahitaji gari aina ya Toyota IST namba D
Rangi iwe kati ya silver, black au white.

Budget ni 7 - 8M.

Gari iwe haijarudiwa rangi.

Kutorudiwa rangi ndo kipimo cha ubora?

Vipi kuhusu uhai wa engine na gearbox?

Vipi kuhusu maintainance history ya gari

Kuna vingi vya kujifunza kabla hujanujua gari kwa mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom