Nahitaji hii Adaptor ya Laptop Asus x554L

Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
510
Reaction score
530
Kichwa cha habari chajieleza wakuu..
Kwa mwenye nayo au anaweza nisaidia wapi nitaipata kwa Dar es Salaam tuwasiliane PM
 
Mawasiliano zaidi..
+255712418986
WhatsApp, call or text
 
nenda kariakoo mtaa wa uhuru kuna maduka yanauza computer na accessories zake utapata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…