Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 29
Ahsantenenda kariakoo round about msimbazi na uhuru upande wanauza maremonti duka la vifaa vya radio mkabala na duka la vitabu {KUMBUKA DUKA LA VIFAA VYA RADIO SIO COMPYUTA} utakuta tena wanauza buku tu km imepanda sana buku jero
nilikuwa na kesi mbili za mashine zinazingua kama hivyo nikaangaika na compaund za maduka halisi ya computer zilikuwa zinakauka tu na bei kubwa nikashangaa pale ni buku na zimeondoa tatizo yena hiyo ya buku unatumia hta computer tano na zaidi